Stephen Watson

Stephen Watson
Amezaliwa 6 Novemba 1954
Cape Town, Afrika Kusini
Amekufa 10 Aprili 2011
Cape Town, Afrika Kusini
Nchi Afrika Kusini
Kazi yake Mshairi

Stephen Watson (6 Novemba 1954 - 10 Aprili 2011) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini. Alifundisha Kiingereza katika Chuo Kikuu cha Cape Town. Hasa aliandika mashairi kuhusu mji wake wa Cape Town. Mwaka wa 2011 aliaga dunia baada ya kupatwa na kansa.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search